Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi mpya nchini Algeria, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter
Makakala Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers William
Sianga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Sokoine kuwa Balozi mpya nchini
Ubelgiji, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Grace
Mgovano kuwa Balozi nchini Uganda, Ikulu jijini Dar es Salaam.
AHADI
YA UADILIFU. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala wakwanza
kulia akiwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
Rogers William, Balozi Joseph Sokoine,
Balozi Omar Yusuph Mzee pamoja na Balozi Grace Mgovano wakila kiapo cha Ahadi
ya Udilifu kwa viongozi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya,
pamoja na Mabalozi watatu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya,
pamoja na Mabalozi watatu Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi katika picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali walioapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment