Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Jengo la Mahakama ya Watoto Mahonda Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mahkama ya Watoto iliyopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (kulia) wakati alipotembelea jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo baada ya kulizindua rasmi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (katikati) wakitoka nje ya Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja baada ya kulizindua rasmi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa  Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika rasmi leo 




Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi,Maniza Zaman akitoa salama zake kwa Wananchi na Viongozi wakati wa  Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumushi wa Umma na Utawala Bora  Mhe,Haroun Ali Suleiman alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   kutoa hutuba yake kwa Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika leo
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi (kulia) na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakiwa katika sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo
Wasanii wa wakiigiza mchezo wa udhalilishaji Mtoto wa Skuli wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo,lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumushi wa Umma na Utawala Bora  Mhe,Haroun Ali Suleiman na  (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu

Wanafunzi wa Skuli ya  Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja ni miongoni mwa wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasm

Watoto wa Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto ambapo imezuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja,iliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 07/02/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.