Habari za Punde

Tawi la CCM Kisauni Lafanya Kongamano Kuadhimisha Miaka 40 ya CCM.

Mgeni Rasmini katika Semina ya kujadili Mafanikio na Changamoto za Miaka 40 ya Kuzaliwa kwa CCM Said Abdalla Limbile akitoa hotuba ya Ufunguzi  kwa wana ccm waliohudhuria katika Semina hio  iliofanyika Katika Tawi la CCM Kisauni Zanzibar.
Mwanachama wa CCM Mariam Saleh akitoa mchango wake Kujadili Mafanikio na Changamoto za Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM Tawi la CCM Kisauni Zanzibar.

PICHA NA MIZA OTHMAN/MAELEZO ZANZIBAR.
Kaimu Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Chukwani Salma Miraji Salmin akizungumza katika  Semina ya kujadiliMafanikio na Changamoto za miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM kwa Matawi yote ya Mkoa wa Magharibi 2017 Zanzibar.
Baadhi ya Wanachama wa CCM waliohudhuria katika Semina ya Kujadili Mafanikio na Changamoto za Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM Tawi la CCM Kisauni Zanzibar.(Picha na Miza Othman - Maelezo  Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.