Habari za Punde

Waziri Amina alipokagua karafuu zilizokamatwa Konde

 Waziri wa Biashara , Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Salim Ali,akizungumza jambo na Viongozi mbali mbali wa Serikali baada ya kuangalia Karafuu zilizokamatwa magendo huko Konde Pemba.
 Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akizungumza baada ya kufanya ziara pamoja na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko,Amina Salim Ali, akielezea jambo kuhusiana na magendo ya Karafuu.


Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Salim Ali, akisisitiza jambo na viongozi mbali mbali walioshiriki katika ziara ya kuangalia Karafuu zilizokamatwa kwa magendo huko Konde Pemba.


Picha na Hanifa Salim-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.