Habari za Punde

Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017. 

 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada mbali mbali za Kikao kabla ya kufanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.
 Wajumbe wa kikao cha Siku moja cha Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika  Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo kabla ya kuanza kwa kikao hicho mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 24/03/2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (katikati)​ pamoja na Viongozi wengine    wakiwa​ katika 
​Ukumbi wa Ofisi ya  CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar  katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,[Picha na 
Ikulu.]24/03/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) 
​akiteta na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma
​   
katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbu wa Ofisi ya CCM Kisiwandui mjin i Zanzibar

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma 
​ (Mabodi) alipokuwa akitoa taarifa ya kikao  cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
​ kilichofanyika leo 
katika 
​Ukumbi wa Ofisi ya 
 CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar​,kwa  mwenyekiti wa kikao hicho  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
​ 
​ 
 [Picha na Ikulu.]24/03/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
​   
(kushoto) 
​akiendesha kikao cha siku moja cha 
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
​   kilicho       fanyika leo  
kat
ika 
​Ukumbi wa Ofisi ya 
 CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
​,(kulia) 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma 
​  
 [Picha na
​ 
Ikulu.]24/03/2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.