Muasisi wa UVCCM Ndg Sukwa Saidi Sukwa akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar alipofika katika jengo hilo kufuatilia michungo ya Wajumbe wakati wa Mkutano huo wa kuchangia Ripoti za Kamati za Baraza na Maswali na Majibu yaliowasilishwa katika Kikoa hicho, kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo, Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Naibu Waziri wa Ujenzi Mawailiani na Usafirishaji na Mewakilishi wa Mji Mkongwe Mhe Mohamed Ahmada Salum Mwakilishi wa Jimbo la Konde Mhe.Omar Seif Abeid na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe Simai Mohammed Said
RAIS Dkt. SAMIA-KUANZA KWA MIZIGO SGR KUTAIMARISHA TZ KAMA LANGO LA
BIASHARA AFRIKA MASHARIKI
-
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuanza kwa usafirishaji mizigo
katika reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) pamoja na mambo mengine,
kutaimarisha nafa...
21 minutes ago
No comments:
Post a Comment