Habari za Punde

Mradi wa Utunzaji wa Mazingira wa Eneo la Maskuli ya Zanzibar Eco School Indian Ocean

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi Khadija Bakari akizungumza na Mkurugenzi wa Foundation For Environmental Education (FEE) Daniel Schaffer alipofika Wizara ya Elimu Zanzibar kujitambulisha kuhusiana na Mradi huo wa Eco School Zanzibar kutunza maeneo ya skuli za Zanzibar kuweka mazingira sala na safi wakati wote. 
Mkurugenzi wa Foundation For Environmental Education (FEE) Daniel Schaffer, akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar alipofika ofisini kwake kwa mazungumzo ya mradi huo wa utunzaji wa mazingira ya maskuli ya Zanzibar kuwa katika hali yake halisi bila ya kuvamiwa na wakazi wa maeneo ya jirani na skuli hizo.












No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.