Habari za Punde

Macha Achaguliwa Kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki


Katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anamringi Issay Macha, ambaye ameteuliwa leo na Kamati Kuu ya CCM, kugombea Nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.