Habari za Punde

Matukio Mitaani Zenj.

Mwananchi akiwakatisha barabara Watoto wa Skuli ya Maandalizi katika barabara ya mwanakwerekwe Zanzibar kuepusha kupata madhara ya vyombo vya moto wakati wakikatisha barabara.

Kuna baadhi ya barabara za ndani katika manispaa ya Zanzibar hazina alama ya kuwawezesha wananchi kuweza kutumia alama hizo kuvuka katika maeneo husika kama ilivyo barabara hii ya mwanakwerekwe imekuwa barabara kubwa kwa wananchi wanaokwenda kwa mchina ni shorti kati yao na hutumika wakati wa mvua maji yakijaa katika eneo la bwawa la Mwanakwerekwe hutumika barabara hii inahitaji kuwekewa alama za tahadhari kwa watumiaji wa vyombo vya moto. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.