Habari za Punde

Msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Zanzibar

Baada ya kukamilika kwa mzunguko wa 23 wa ligi kuu ya soka Zanzibar kituo cha Unguja hapo jana usiku msimamo wa ligi upo kama ifuatavyo.

Upande wa pili kisiwani Pemba mzunguko wa 26 ulilazimika kusimama kupisha mechi za viporo huku msimamo ukionekana hivi.
Jee timu gani itafanikiwa kutinga hatua ya nne bora kucheza 'Super Eight' subiri tuone.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.