Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba,Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, akishiriki katika usafi wa mazingira ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea miaka 40 ya Jeshi la Kujenga Uchumi JKU. kwa kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
Picha na Habiba Zarali -Pemba.
No comments:
Post a Comment