Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikata utepe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha
kutengeneza vigae (Tiles) cha
Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd. kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani leo.Kutoka
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega, Mkuu wa Mkoa wa Pwani,
Mhandisi Evarist Ndikilo, Balozi wa China nchini Dkt. Lu Youqing, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Tanzania
Goodwill Ceramic Tiles Ltd Fang Habibi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara
na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru(wapili kushoto).
Jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae
(Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic
Tiles Ltd kama linavyooneka mara baada ya baada ya kuwekwa rasmi leo na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kiwanda
cha kutengeneza vigae (Tiles) cha
Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd mara baada ya kuweka jiwe la msingi leo
Wilayani Mkuranga, Pwani. Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani
8000 za Vigae kwa siku.Kushoto kwake ni Balozi wa China nchini Tanznia Dkt.Lu
Youqing na kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na
Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist
Ndikilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda

John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic
Tiles Ltd kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani mara baada ya kuweka jiwe la msingi
leo wilayani Mkuranga, Pwani.
Baadhi ya wananchi wakitawanyika mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)
kuondoka baada ya kuweka jiwe la msingi
la kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles)
cha Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd kilichopo Mkuranga, Pwani.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment