Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Madaktari Bingwa wa Upasuaji Kichwa na Uti wa Mgongo,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu,Uti wa Mgomgo na Vichwa maji  Dr.Hosea Piquer akiongoza Ujumbe wa Wataalamu   wa Upasuaji wa Kichwa na Uti wa mgongo   walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo na Rais ,  [Picha na Ikulu] 27/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu   wa Upasuaji wa Kichwa na Uti wa mgongo mara walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo (wa pili kulia)Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu,Uti wa Mgomgo na Vichwa maji  Dr.Hosea Piquer akiongoza  Ujumbe huo,  [Picha na Ikulu]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.