Wanawake kutoka
vikundi kadhaa vya ushirika wanaojishughulisha na ususi wa mikoba ya kisasa,
wakipewa mafunzo ya ususi wa mikoba ya kisasa, kwa kutumia zipu, kitambaa na
ukili, yaliotolewa na TAMWA kupitia mradi wa WEZA II na kufanyika Kiuyu wilaya
ya Wete Pemba

MJASIRIAMALI kutoka mkoa wa kaskazini Pemba,
akionyesha jinsi ya kutengeza mkoba wa kisasa kwa kutumia ukindu, kitambaa,
kipolo na zipu ambapo mmoja huuzwa kati ya shilingi 22,000 hadi shilingi 25,000,
mafunzo hayo yameandaliwa na TAMWA na kufanyika Kiuyu wilaya ya Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment