Habari za Punde

Ujenzi wa Mradi wa Ukuta wa Bahari ya Forodhani Ukiwa Ukingoni Ujenzi Wake.

Mfundi wa Mradi wa ujenzi wa ukuta wa bahari ya forodhani sea frount ukiendelea na ujenzi huo kwa upandaji wa miti ya bustani katika eneo hilo kuonekana katika mazingira mazuri kwa wananci wanaofika katika eneo hilo kama inavyoonekana pichani wakipanda mtii wa mnazi. 

Muonekano wa eneo la bustani ya forodhani katika mji mkongw wa Zanzibar. eneo hilo vijana wengi wanaofika katika eneo hilo hulitumia kwa kuongelea na kupiga kachu baharini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.