Barabara ya vuga kwenda shangani imetengwa kwa matumizi ya njia moja tu kwa ajili ya utunzaji wa Mji Mkongwe kupunguza msongamano wa magari ili kutowa fursa kwa matumizi ya mji huo lakini bado kuna baadhi ya matumiaji wa barabara hiyo wanakiuka sheria hiyo kama inavyoonekana gari ikitokea posta kuelekea vuga zikipisha katika eneo hilo. Njia hii imewekwa kwa ajili ya kwenda forodhani na kutokea eneo la malindi.
MAWAZIRI WA SADC WAKUTANA KUJADILI USIMAMIZI WA MAAFA
-
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy
Nderiananga, ameshiriki mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri
wanaohusika na Usim...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment