Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Mayungi (Kushoto) akisisitiza jambo kwa Msimamizi wa Kiwanda cha Afro American Industries ambacho kinatengeneza pombe aina ya Viroba mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku kutumika.
Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche
akikagua moja ya pombe aina ya Kiroba Original mapema hii leo jijini Dar es
Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho
Serikali imepiga marufuku kutumika.
Mwanasheria toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira
(NEMC) Bw. Manchare Heche (kulia) akipata maelekezo toka kwa msimamizi wa ghala
lanalohifadhi pombe aina ya kiroba original Bw. Mhina Rashid (kushoto) Original
mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji
wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku kutumika, katikati ni
Mkaguzi wa Chakula toka TFDA Bw. John Nzila.
Sehemu ya Shehena ya maboksi ya pombe aina ya Kiroba Original ilikutwa katika
ghala lililopo Mabibo jijini Dar es
Salaam.
Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche
akizungumza na waandishi wa habari katika ghala la kuhifadhi pombe aina
viroba lililopo Mabibo jijini Dar es
Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho
Serikali imepiga marufuku kutumika.
Msimamizi wa Kiwanda cha Afro American Industries ambacho
kinatengeneza pombe aina ya Viroba akitoa maelezo kwa Mwanasheria wa Baraza la
Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche wakati wa operesheni
ya kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku
kutumika.
Mwanasheria toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira
(NEMC) Bw. Manchare Heche akikagua baadhi ya nyara za Kiwanda cha Afro American
Industries ambacho kinatengeneza pombe aina ya Viroba wakati wa operesheni ya
kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku
kutumika.
Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo
No comments:
Post a Comment