Habari za Punde

Itifaki ya Jumuiya ya Kusaidia Wagonjwa na Ustawi wa Jamii Zanzibar Katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.

Sheikh Salum Msabah akiwasilisha Mada Ustawi wa Jamii Katika Usilamu  akitowa Mada hiyo wakati wa Itikafu ya Simu Moja ilioendana na Uzinduzi wa Jumuiya hiyo, Iliofanyika katika Masjid Mushawar Zanzibar na kuhudhuriwa na waumini wa Kiislam Zanzibar. 
Shekh Salum Msabah akisisitiza jambo wakati akitoa Mada ya Ustawi wa Jamii Katika Uislam kwa waumini na wananchi wote duniani.  
Sheikh Msabah akitowa mada yake kwa waumini wa Dini ya Kiislam wakati wa Itikafu hiyo.
Sheikh Khamis Abdulkhamid akitowa Mada kuhusiana na Faida za Kutembelea Wagonjwa na Athari zake wakati wa Itikafu hiyo ilioandaliwa na Jumuiya ya Kusaidia Wagonjwa na Ustawi wa Jamii Zanzibar iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar. 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.