Habari za Punde

Yaliyojiri Wakati wa Tamasha la Pasaka Kati ya Ikulu Sport Club Zanzibar na Ikulu Sport Club Dar es Salaam Mchezo wa Netiboli Uliofanyika Uwanja wa Nje Amaan Timu ya Ikulu Zanzibar Imeshinda 22-8.

Mchezo wa Tamasha la Pasaka wa netiboli Kati Timu ya Ikulu Sport Club Zanzibar na Ikulu Sport Club Dar es Salaam, mchezaji wa Timu ya Ikulu Zanzibar akijiandaa kurusha mpira huku mchezaji wa Ikulu Dar akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa kirafiki wa Tamasha la Pasaka uliofanyika katika uwanja wa amaan nje Timu Ikulu Zanzibar imeweendesha mchamcha warembo Ikulu Dar kwa kuwafunga mabao 22 - 8.
Viongozi wa Timu hizo wakifuatilia mchezo huo uliokuwa na upizani wa kuoneshana ufundi wa kumiliki mpira, Timu ya Ikulu Dar imezindiwa mbinu na kuondoka na majonzi baada ya kukubali kichapo cha mabao 22 - 8 Wapenzi wa timu ya netiboli Ikulu Dar wakiwa na majonzi ya kichapo hicho. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.