Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki wa Mpira Kati ya Ikulu Sport Club Zanzibar na Ikulu Sport Club Dar es Salaam Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Wakati wa Tamasha la Pasaka Zanzibar Ikulu Zanzibar Imeshinda Bao 8--0

Kikosi cha Timu ya Ikulu Sport Club Dar es Salaam kilichokubali kipigo cha mabao 8 - 0 wakati wa michezo ya Tamasha la Pasaka katika viwanja vya Amaan Zanzibar kwa kufungwa na Ikulu Sport Club Zanzibar. 
Kikosi cha Timu ya Ikulu Sport Club Zanzibar kilichotoka kifua mbele wakati wa mchezo wao wa Tamasha la Pasaka na marafiki zake Timu ya Ikulu Sport Club Dar es Salaam kwa kuichapa mabao 8 -- 0 na kuchukuwa Kikombe Maalum cha mchezo huo wa Tamasha la Pasaka kwa mwaka huu lililofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.