Dk Mohamed Hafidh Khalfan akikabidhiwa tunzo ya Mshauri Bora 'Best Shariah Advisor Award' Kutoka Alhuda Centre for Islamic Banking and Economics iliyopo Dubai. Hafla hiyo imefanyika juzi March 29.2017. katika hoteli Hyatt Regency Dar es Salaam
INEC : Taasisi na Asasi za Elimu ya Mpiga Kura Zatakiwa kuzingatia Sheria
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs
Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Tume
na a...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment