Mkufunzi
Mkuu na Msambazaji wa huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Kulwa Mbena
akizungumza wakati wa hafla ya “Mwanamke na Uongozi” iliyoandaliwa na Uongozi
wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (DARUSO) chini ya udhamini wa
Kampuni ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika siku ya jumamosi katika ukumbi wa
Nkurumah uliopo chuoni hapo.
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Jensen Msechu (mwenye fulana nyeusi)
akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wakati wa hafla ya“Mwanamke
na Uongozi” iliyoandaliwa na Uongozi wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam (DARUSO) kwa udhamini wa Kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyika siku ya
jumamosi katika ukumbi wa Nkurumah uliopo chuoni hapo.
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Jensen Msechu(wa pili kulia) akifafanua
kuhusu huduma na ofa mbalimbali za Kampuni hiyo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es salaam wakati wa hafla ya
“Mwanamke na Uongozi” iliyoandaliwa na Uongozi wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es salaam (DARUSO) kwa udhamini wa Zantel. Hafla hiyo ilifanyika siku ya
jumamosi katika ukumbi wa Nkurumah uliopo chuoni hapo. Kulia ni Mkufunzi Mkuu
na Msambazaji wa huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Kulwa Mbena.
Mkurugenzi
wa Kitengo cha masuala ya jinsia wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dr. Eugenia
Kafanabo akizungumza wakati wa hafla ya “Mwanamke na Uongozi” iliyoandaliwa na
Uongozi wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (DARUSO) kwa udhamini wa
Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa
Nkurumah wa Chuo hicho mwishoni mwa juma.
Baadhi
ya wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Zanaki wakifuatilia hafla ya
“Mwanamke na Uongozi” iliyoandaliwa na Uongozi wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es salaam (DARUSO) kwa udhamini wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel. Hafla
hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Nkurumah wa Chuo hicho mwishoni mwa juma.
No comments:
Post a Comment