Mkurugenzi wa Global Health kutokea Taasis ya GE,
Asha Varghese akizungumzia ushiriki wa Taasis hiyo katika kongamano hilo
Mganga Mkuu wa Serikali Professa Muhammed Bakari
akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la siku mbili la wadau wa Afya
kujadili hali ya upasuaji nchini (medical operation)
Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wanaoshiriki
kongamano hilo wakifuatilia kwa umakini mjadala uliokuwa unaendelea.
Mganga Mkuu wa Serikali Professa Muhammed Bakari
akijadiliana jambo na washiriki wa mkutano huo.
Mganga Mkuu wa Serikali Professa Muhammed Bakari
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na changamoto zitokanazo na uhaba
wa wataalamu wa upasuaji nchini na mengineo kuhusiana na kongamano hilo.
Washiriki wa kongamano hilo wakiwa kwenye picha ya
pamoja.
No comments:
Post a Comment