Habari za Punde

Mama Salma Kikwete Aapishwa Kuwa Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Spika wa bunge,la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akimwapisha Mama Salma Kikwete kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.
Mama Salma Kikwete akiapa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimpongeza Mama Salma Kikwete baada ya kuapishwa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya  nne,Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Mheshimiwa Kikwete alikwenda bungeni kushuhudia kuapishwa  kwa mkewe mama Salma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.