Habari za Punde

Viongozi wa asasi ya kiraia inayojishughulisha na kutoa mikopo kwa wajasiriamali watembelea Zanzibar leo Pemba


 MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali afisi ya Pemba, Bakar Mussa Juma, akiomba kupata ufafanuzi kutoka kwa asasi za kiraia inayojishughulisha na kutoa mikopo kwa wajasiriamali na watu wengine kupitia benki ya Ummi, waliofika ofisi za Gazeti hilo kuzungumza na waandishi mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba). 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.