Habari za Punde

WAJUMBE wa Bodi ya ZBS Zanzibar ziarani Pemba kujitambulisha

 AFISA mdhamini Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Pemba, Abdalla Juma Khamis, akiwatamulisha wajumbe wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), wakati walipotembelea taasisi za serikali kuitambulisha ZBS Kisiwani Pemb.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe:Omar Khamis Othman, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya ZBS wakati walipofika kuitambulisha bodi hiyo huko Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MWENYEKITI wa bodi ya Taasisi ya Viwango Zanzibar, Profesa Ali Seif Mshamba(Wakwanza kulia) akitoa taarifa ya bodi ya ZBS wakati wajumbe wa bodi hiyo walipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Wete Mhe:Rashid Khadid Rashid, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya ZBS, wakati wajumbe wa bodi hiyo walipofika kuitambulisha bodi ya ZBS kwa viongozi wa taasisi za Serikali Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI wa ZBS Zanzibar Khatib Mwadin Khatib, akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa bodi hiyo na viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wajumbe wa bodi hiyo walipofika kutambulisha uwepo wa bodi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAJUMBE wa Bodi ya ZBS Zanzibar,wakiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya wajumbe hao kumaliza kikao cha pamoja huko Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, Mhe:Abid Juma Ali akizungumza na wajumbe wa bodi ya ZBS Zanzibar, wakati wajumbe wa bodi hiyo wakati walipofika Kutambulisha uwepo wa bodi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.