Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa Viti Maalum, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, (kulia) bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, (kulia) bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene Magige na Joyce Mukya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment