Habari za Punde

Mvua za Masika Zinazonyesha Zimeaza Kuleta Madhara katika Miundombinu ya Barabara Kisiwani Pemba.

Thari za Mvua za Masika kisiwani Pemba tayari zimeleta madhara kwa miundombinu ya barabara kutokana na mvua hizo zinazoendelea kunyesha kisiwani humo.  Hii ni moja ya barabara kisiwani Pemba imeharibika kutokana na mvua hizo katika eneo zimeaza kusimamishahuduma ya usafiri katika barabara ya Chake Mkoani, kwenye eneo la Changaweni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini pemba hali iliyopelekea
barabara hiyo kufungwa kwa usalama wa waendesha vyombo vya moto na wapita njia, huku wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
ikitengeneza barabara ya dharura.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.