Habari za Punde

Baraza la Eid el Fitr lilivyofanyika Kikwajuni mjini Unguja

  Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa ​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri    katika viwanja vya Ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea salamu ya Heshma ya Gwarie maalum la Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakati wa Baraza la Eid el fitri  katika   viwanja vya Ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi  mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo  wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri    kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanioa Mhe,Samia Suluihu Hassan  mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo  wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri  katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
 Nd,Hamdani Juma kutoka Jumuiya ya Wasomaji wa Tajweeed Zanzibar alipokuwa akisoma Quran Tukufu katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) aliopokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu mbali mbali katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 

 Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. 

 Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar na waisalamu mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) apokuwa akitoa hutuba yake  katika  sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 
 Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za kigeni na wawakilishi wa mashirika mbali mbali na Wananchi  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipokuwa akitoa hutuba yake ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyosoma  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 

 Baadhi ya Wananchi na Waislamu walioalikwa katika sherehe za  Baraza la Eid el fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )alipokuwa akisoma Khutba ya Baraza hilo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 

 Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa  Hutuba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mhe .Mama Fatma Karume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,.Ayoub Mohamed Mahmoud wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa khutba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri aliyoisoma  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto ) alipokuwa akitoa khutba yake kwa Wananchi na Waislamu katika  sherehe za  Baraza la Eid el fitri aliyoisoma  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.]  26/06/2017. 

Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.