Habari za Punde

Harakati za Kusherehekea Sikukuu Katika Bustani ya Forodhani Zanzibar.

Watoto wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri katika viwanja vya bustani ya forodhani kwa michezo mbalimbali ilioko katika bustani hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakiwa katika pembea ya farasi katika bustani hiyo.
Watoto wakicheze katika bustani ya forodhani kwa michezo mbalimbali wakiwa katika baskeli zilizo katika bustani hiyo wakati wa Eid El Fitri. 
   
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.