Habari za Punde

Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba

 BIASHARA ya Nguo za mitumba za watoto wakiume suruali na flana, zimekuwa na soko katika kipindi hiki cha kuelekea skukukuu ya Idd el Fitri, pichani wananchi wakichangua nguo hizo katika gari aina ya keri Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, wameanza kuelekeza nguvu zao katika maandalizi ya skukuu kwa watoto wao, pichani wananchi wakichagua nguzo wa watoto katika mji wa chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BIASHARA ya Vitambaa vya kike vimekuwa na soko kubwa katika kipindi hiki cha Ramadhani, pichani muuza vitambaa akiwakatia wateja wake baada ya kununua vitambaa hivyo katika eneo la juwa kali Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.