Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mafunzo kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Kamishna wa Bodi ya mapato Zanzibar Amour Hamil Bakari akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo akiuliza maswali katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Meneja wa Sera ,Utafiti na Mipango Z R B Ahmed Haji Saadati akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali yalioulizwa katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Meneja Tehama Mussa Amour Ali akitolea ufafanuzi wa maswali mbalimbali yalioulizwa katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD) yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment