Habari za Punde

Rais wa Tanzania Dkt.Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo tarehe 26/06/2017 kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.