Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Ahutubia Baraza la Eid Mubaraak Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar uliokuwa Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi zamani kikwajuni. kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid Mubaraak leo asubuhi kuadhimisha baada ya Mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Waumini wa Dini ya Kiislamu Duniani wameungana katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea salamu ya Heshma ya Gwarie maalum la Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakati wa Baraza la Eid el fitri  katika   viwanja vya Ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa ​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri    katika viwanja vya Ukumbi wa  zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Ustadh.Hamdani Juma kutoka Jumuiya ya Wasomaji wa Tajweeed Zanzibar alipokuwa akisoma Quran Tukufu katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) aliopokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu mbali mbali katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za  Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )  katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan


Baadhi ya Wananchi na Waislamu walioalikwa katika sherehe za  Baraza la Eid el fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )alipokuwa akisoma Khutba ya Baraza hilo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika   kusherehekea Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.