Habari za Punde

Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani

Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eid el Fitr iliyofanyika kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.