Habari za Punde

Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba.

MRATIBU wa maadhimisho wa siku ya mtoto wa Afrika duniani, kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Safia Saleh Sultan, akizungumza kwenye maadhimisho hayo yaliofanyika skuli ya sekondari Madungu Chakechake Pemba
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika duniani, ambapo kwa Pemba yalifanyika skuli ya sekondari Madungu Chakachake Pemba
WATOTO kutoka mabaraza mbali mbali ya watoto kisiwani Pemba, waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika duniani, ambapo kwa Pemba yalifanyika skuli ya Sekondari Madungu na yalitayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.