MFANYABIASHARA
ya vitu vya kuchezea katika viwanja vya mnazi mmoja Ishaka Ameir akiwa na moja
ya bastola ya kurusha mapovu akionesha katika viwanja vya mnazi mmoja ikiuzwa
kawa shilingi 2000/
KIJANA
muuza mipra ya kuchezea Said Salum akiwa katika viwanja vya sikukuu mnazi mmoja
aakichezea mmoja wa mipira hiyo wakati akisubira wateja, mpira mmoja huuza
shilingi 1000/
WATOTO
wakiwa katika moja ya pembea katika viwanja vya sikukuu vya mnazi mmoja
wakibembea kuadhimisha sikukuu ya Eid Fitri inayoadhimishwa na Waumini wa Dini
ya Kiislamu duniani kote baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadhani
Wananchi waliofika katika viwanja vya
Sikukuu mnazi mmoja wakati katika
viwanja hivyo wakifurahia sikukuu ya Eid
Fitri inayoazamisha baada ya mfungo wa Mwezi Mtufuku wa Ramadhimi na
kuadhimishwa na waumini wa Dini ya Kiislamu wakati katika viwanja hivyo kama
walivyokuta na mpiga picha wetu
No comments:
Post a Comment