Habari za Punde

UNICEF Yasaidia Vitanda vya Wagonjwa Kambi ya Kipindipindu Chumbuni Zanzibar.

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipokea msaada wa vitanda vya wagonjwa wa kipindupindu kwa Afisa Mkaguzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia watoto Duniani (unicef) Bi. Francesca Morandini katika kambi ya kipindupindu Chumbuni.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akiwa na  alipotembele kambi ya kipindupindu Chumbuni, akiwa na Afisa Mkaguzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (unicef) Bi. Francesca Morandini wakitembelea kituo hicho. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.