Habari za Punde

Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa Tamasha la Weekend Pemba Laaza Kesho Kisiwani Huo Kwa Michezo Mbalimbali.

Kikosi Kazi cha Kampuni ya  AZAM TV kikiwa katika matayarisho ya mwisho kufunga vifaa vya kwa ajili ya kuripoti Tamasha hilo live na matangazo mengine yanayofanyika wakati wa Tamasha hilo Kubwa na laaina yake kufanyika kisiwani Pemba kwa kushirikisha michezo mbalimbali  Ikiwemo Resi za Ngalawa, Baskeli, Mchezo wa Ngombe na mengineyo Lililotayarishwa na Kampuni ya Rafiki Network.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.