Habari za Punde

Innaa llilaha Wainnaa ilayhi Raajiuun: Maziko ya Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Ujamaa na Small Simba Zanzibar Bakari Ali Salum (Kitipwa) Amefariki Dunia jana na Kuzikwa leo Zanzibar.

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Small Simba Abdulghani Msoma akiongoza Ibada ya kuusalia Mwili wa Marehemu Bakari Ali Salum Kitipwa iliofanyika katika msikiti wa Jangombe Mshelishelini Zanzibar na kuhudhuriwa na Wachezaji mbalimbali wa zamani katika uhai wake amechezea Timu ya Ujamaa na Small Simba katika nafasi ya ulinzi. 
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia dua baada ya kuusalia mwili wa marehemu Bakari Ali Salum Kitipwa iliofanyika katika msikiti wa Jangombe Mshelishelini Zanzibar leo saa nne asubuhi. 

1 comment:

  1. Picha yake please. Ingependeza sana lau ungetuwekea na picha yake, wengine hatumjui au tumemsahau

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.