Habari za Punde

Maonesho ya Tamasha la 22 la Mzanzibar Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu Michezani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za asili za zamani wakati wa uzinduzi wa Tamasha la 22 la Mzanzibar lililofanyika katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi michezani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.