Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli,Uongozi wa Shirika la Meli  pamoja na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la meli wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Bodi hiyo na Uongozi wa wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo, [Picha na Ikulu] 31/07/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.