Habari za Punde

Waziri wa Kilimo Mhe Hamadi Rashid Atembelea Bonde la Mpunga Kisiwani Pemba


Ofisa Mdhamini Wizara ya Kilimo , maliasili , Mifugo na Uvuvi Pemba, Sihaba Haji Vuai, akiwa pamoja na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid Moh'd, wakiangalia mpunga ulipandwawa mbegu  mpya ya Shadidi.

Picha na Said Abrahaman-Pemba.

1 comment:

  1. Shadidi sio mbegu, ni teknolojia bora ya kilimo cha mpunga inayotumia mbegu na maji kidogo na kupata mavuno mengi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.