Habari za Punde

Bopar atoa misaada Hospitali ya Abdalla Mzee mkoani

 Mtoto wa Mfanyabiashara marufu Zanzibar, Said Nassir (Bopar), Salum Said Nassir, akikabidhi msaada wa vifaa mbali mbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, kwa niaba ya baba yake , kwa

jili ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.


 Mfanya biashara maarufu Zanzibar, Said Nassir Nassor (Bopar), akizungumza na Uongozi wa Hospital ya Abdalla Mzee na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi Vifaa kwa Hospitali hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akitowa pongezi zake kwa Mfanya biashara huyo kwa juhudi zake za kusaidia misaada mbali mbali kwa Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Pemba.Vifaa ambavyo vimekabidhiwa kwa Uongozi wa mkoa wa Kusini Pemba na wafanyakazi wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.


PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.