Habari za Punde

Matembezi ya Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe Marina Joe Thomas washiriki matembezi ya Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini Unguja kuadhimisha Mwaka Mmoja tangu kuazishwa baraza hilo la Vijana katika Wilaya ya Mjini Matembezi hayo yameazia katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Amaan na kumalizikia katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi Squar Michezani. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.