Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na NMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Akipokea Taarifa ya Utendaji ya Mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kusini Pemba kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Mwanajuma Majid Abdalla leo wakati wa mkutano wa utoaji wa taarifa hiyo ya utekelezaji katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wialaya ya Chake chake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi mbali mbali  katika ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chekechake leo katika mkutano wa utoaji wa Taarifa ya utekelezaji wa Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mwanajuma Majid Abdalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi mbali mbali  katika ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chekechake leo katika mkutano wa utoaji wa Taarifa ya utekelezaji wa Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chekechake leo katika mkutano wa utoaji wa Taarifa ya utekelezaji wa Mkoa wa Kusini Pemba,kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chekechake leo katika mkutano wa utoaji wa Taarifa ya utekelezaji wa Mkoa wa Kusini Pemba,kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.