Habari za Punde

Kongamano la Elimu Kwa Vijana Kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani na Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini Unguja.

 
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Vikosi vya SMZ na Idara Maalum Zanzibar Mhe Shamata akifungua kongamano la Baraza la Vijana wa Wilaya ya Mjini Unguja kuadhimisha mwaka mmjoa tangu kuazishwa kwa Baraza hilo kwa Vijana wa Mjini ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani huadhimishwa kila mwaka Agusti 12. lililofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Unguja.
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo la Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini Unguja likiambatana na kuadhimisha Mwaka mmoja wa Baraza hilo.

Muweshaji Hashim Pondeza akiwasilisha Mada inayozungumzia Amani na Vijana wakati wa kongamano hilo la Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini Unguja lililofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.