Habari za Punde

Zoezi la Maandalizi ya Ujenzi wa Maduka ya Kisasa Michenzani Makontena.

Maandalizi ya ujenzi wa maduka ya kisasa limaeza kwa uzungushaji wa uzio katika eneo hilo kwa matayarisho hayo. Maduka hayo ya kisasa yanajengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.  
Dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa katika eneo la michezani akisubiri abiria usafiri wa bodaboda umekuwa maarufu katika visiwa vya Zanzibar na kurahisisha wananchi wa kufika sehemu husika.


1 comment:

  1. Good start, lakini mbona kile kituturi Cha Idara ya Ujenzi hakikuvunjwa? Kitaharibu mandhar nzuri ya hizo Malls.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.