Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini katika
kikao kazi cha maelekezo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika
kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa
weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na
uhalifu. Picha na Jeshi La Polisi
Mkuu
wa Utawala wa Makao Makuu ya Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard
Paulo, akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao kazi cha Inspekta
Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini
kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro
aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia
malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu. Picha na Jeshi La
Polisi
Mkuu
wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zarau Mpangule, akitoa mada wakati wa
kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na
Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu
wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya
kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania isiyo
na uhalifu. Picha na Jeshi La Polisi
No comments:
Post a Comment