Habari za Punde

Kongamano la Nne la Diaspora Lilipohamia Katika Meli ya Mv Mapinduzi II.

MenejaDiaspora Bank wa CRDB Lucy K Naivasha akitowa Mada wakati wa Kongamano la Nne la Diaspora lilipohamia katika Meli ya MV Mapinduzi II kuelezea huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB kwa Watanzania Wanaoishi Ughaibu Diaspora ushirikiana wao wa pamoja na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) kupitia CRDB Bank Through Diaspora Are Also Partners With NHC For AllDiaspora - Tanzanite Can Purchase Home" kupitia benki yao unaweza kupata huduma hiyo ya kununua nyumba kupitia benki yao.
Bi Lucy K Naivasha akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Mada yake kwa Wana Diaspora wakati wakiwa katika Meli ya MV Mapinduzi II kutembelea maeneo ya Utalii katika kisiwa cha Zanzibar kupitia meli hiyo.
Meneja wa CRDB Bank Diaspora Lucy K Naivasha akitowa maelezo kwa mmoja wa Watanzania wanaoishi Nje Diaspora wakati wa Kongamano hilo la Nne wakiwa katika Meli ya MV Mapinduzi II wakiendelea na Kongamano hilo kwa kutembelea sehemu za Utalii katika maeneo ya Visiwa vya Zanzibar.
Meneja Diaspora Banking CRDB Bi Lucy K Naivasha akitowa maelezo kwa Washiriki wa Kongamano la Nne la Diaspora wakati likiendelea katika Meli ya Mv Mapinduzi II baada ya kufunguliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff na kuendelea katika meli hiyo kwa kutembelea sehemu za kitalii katika visiwa vya Zanzibar.
Afisa wa Muandamizi wa NHC Joseph Haule akitowa maelezo huduma za  Shirika la Nyumba la Taifa wakati wa kongamano hilo lilipoendelea katika Meli ya MV Mapinduzi II baada ya kufunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba.
Mshiriki wa Kongamano la Diaspora akisoma vipeperushi vya Shirika la Taifa la Nyumba NHC wakati wa Kongamano hilo lilipohamia katika Meli ya Mv Mapinduzi II 
Afisa Muandamiziwa Shirika la Nyumba la Taifa NHCa kitowa maelezi ya vipeperushi vya shirika hilo kwa MwanaDiaspora wakati wa Kongamano la Nne lilipohamia katika Meli ya MV Mapinduzi II na kutowa huduma za kutowa maelezo ya utendaji na ujenzi wa nyumba hizo kwa ajili ya biashara kwa Wananchi ili kwa makazi bora.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.